Duration 8:10

VIDEO; MAYELE AMCHANA FEITOTO, Umeisaliti YANGA Kutetema MISRI Mwakani

95 878 watched
0
439
Published 23 Jul 2023

#yangaleo#yangaleo#yanga#simbasc#usajilimpya#jezimpyayasimba2023#mayele#kombelashirikishoafrica#feitoto

Category

Show more

Comments - 52
  • @
    @dianasamson931110 months ago Mayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden1" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand 3
  • @
    @user-hn9sj6fp3g10 months ago Tunakupenda sana mayeree mungu akakusimamie uko uwendako. 4
  • @
    @FredsonHytham-dx4xk10 months ago Aliyemfundisha kiswahili mayele katuletea balaa kweli. 5
  • @
    @nicholauskilosa533610 months ago Mayele wewe ni kipenzi cha wanamnooo mwamba nenda lkn usisahau kwamba mashabiki wa yanga tutakumiss. 11
  • @
    @brysonkaale30039 months ago Mbali na kipaji cha mpira mayele ni mchezaji mwenye busara na adabu, hana makuu! 3
  • @
    @mrsultanzimbwe674610 months ago Player wote tumewasahau waliondoka yanga lkn mwamba mayele tutamuombea mema daima hana baya hana urojo rojo alafu pengo lke halijazibwa kamwe. Lkn kina skudu max na pacome wametusaulisha kina mwembe ladu sptl ya wazazi. 5
  • @
    @dvoicemaxmia118210 months ago Fei umeanza kutoka maupele tena na vijipu uchungu hahaha pole sana. 1
  • @
    @mohammedhimba164710 months ago Yaani fei laati kama ungekuwa na sabra na kucheza mpaka wa mwisho shirikisho na ukakiwasha wallahi ungesajiliwa kwa pesa nyingi zaidi lakini ni fungu la kukosa. 6
  • @
    @abdallahshaibu610610 months ago Beans mayele ninakuombea kila la kheri mungu alinde kipaji chako. Maana umeondoka yanga bila guyana yoyote. Siyo mtu mmo hakutaka yanga ifaidike. Lakini wewe mayele kiroho safiiu. 2
  • @
    @ains112210 months ago Lakini asije kutetema kwa ligi ateteme huko nje. 1
  • @
    @marryfelician142610 months ago Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .. ...Expand
  • @
    @gaudenciaantony552310 months ago Mayele lugha utadhani kazaliwa bongo, arudi akishindwa.
  • @
    @tumainielmremi791210 months ago Yanga ni bora kuliko fei na mayele. Bora mayele fei ni msaliti. 2
  • @
    @user-cc8le8bx5s9 months ago Nakweli katuteka wengi unajunini ataruditu.
  • @
    @user-ck3db6zv8t10 months ago Mayele nenda ila ukiona huko kumebana lud nyumban.
  • @
    @pendokitalo229510 months ago Wao wanakikomo saivi vicheko klabu siku zote haina kikomo. 2
  • @
    @burudanitiv32410 months ago Nyie wote ni mafara tuyy mipuuzi kweli. 3
  • @
    @peninakuonewa9 months ago Jamaa yako huyo amepoteana ateteme wakati ajui kuupiga bila sapota wazuri yanga hii ya mabao mh balaa tunazidi kumsaau tu huyo bingwa wa faulo.
  • @
    @PAULCHARLES-bf5fv10 months ago Fei wee ndo unaifanyia umafia yanga, hta mayele umemharibu tareh 9 lazma utolew kwa machela. 2
  • @
    @donaldbenedict576110 months ago Huyu dogo msaliti angalia mayele kawa muungwana leo anakula matunda yake misri. 1
  • @
    @fucianejoseph525410 months ago Acheni umbea nyie ni wapitaji tu, from ukerewe 2geza is 1.
  • @
    @IslahiMohamed-qi2jf10 months ago Mpira maslahi tafuteni pesa musiwasikilize wasiojua maisha. 2
  • @
    @dianasamson931110 months ago Mayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden7" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand 3
  • @
    @marryfelician142610 months ago Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .. ...Expand