Duration 7:7

Mtoto wa Miaka 2 amerudishwa nchini, Baada ya wazazi wake kukamatwa na Dawa za Kulevya China

133 278 watched
0
374
Published 15 Feb 2018

Taarifa tuliyoipokea kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ni kuhusu Watanzania wawili wamekamatwa nchini China January 19, 2018 wakiwa wamemeza dawa za kulevya tumboni kwenye uwanja wa ndege wa Baiyun Guangzhou.

Category

Show more

Comments - 239