“Tunaitaka Serikali kuendelea kutoa taarifa sahihi na kwa wakati kwa umma wa Watanzania bila kificho kwani janga hili la mlipuko wa Corona sio ilani wala sera ya chama chochote cha siasa kwa hiyo uwepo wake sio udhaifu wa ilani bali ni janga la dunia ambalo mikakati ya kulikabili ifanyike kwa uwazi na kwa kushirikisha wadau mbalimbali”
Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu bajeti ya wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2020/2021
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates
Category
Show more
Comments - 119
Related videos for Watu Wanazikwa Usiku I Takwimu za Corona I Maoni ya Upinzani Wizara ya Afya: