Duration 5:50

DOKTA PHILIP MPANGO AWAAHIDI NEEMA WAMACHINGA

135 watched
0
0
Published 14 Jul 2017

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amewahakikishia wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga kwamba Serikali itaendelea kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia biashara zao ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Category

Show more

Comments - 0