Duration 10:26

Angalia kilio cha waislam wenzetu kijijini Usinge mkoani tabora

552 watched
0
9
Published 8 Nov 2019

Nibaada ya kukwama ktk ujenzi wanayumba ya Allah.. Hivyo wanaomba msaada kwa chochote ulicho jaaliwa na mola wako mlezi.. Allah atakulipa mema mazuri...kama huna basi hata ku share hii link ni swadaqa Yako pia.. Wabillah taufiiq.

Category

Show more

Comments - 4