Ni video inayomuonesha Mwigizaji Kajala akicheza wimbo wa aliyekua Ex wake Harmonize huku akiwa mtu mwenye furaha, katika video ya kwanza ambayo Harmonize alipost kwenye Instagram Page yake inamuonesha Kajala akiwa na Baba Levo wakicheza patoja huku video ya Pili ikimuonesha Kajala na Mwijaku wakicheza.. PLAY video kutazama
Category
Show more
Comments - 125
Related videos for KAJALA ASHINDWA KUJIZUIA AJIACHIA NA WIMBO WA EX WAKE, HARMONIZE AMPOST NA KUMUITA SISTER: