#hamisa #nyumba #mwendokasitv
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: https://www.instagram.com/mwendokasitv/
Follow on Facebook: https://web.facebook.com/mwendokasimedia/
@ashapearubart26244 years agoIna bidi tuamini. Kwamaana anajituma. Hongera sana. 14
@
@sarawaziri44004 years agoKatka kitu huwa nafurahia, ni mafanikio ya waleakuinue zaidi ya hapo. 21
@
@hassangabriel46034 years agoLet her prosper. Made more live long hamisa from kenya bgapu sana. 8
@
@mwanahalimamwachili96794 years agoMabrooq alf mabrooqkusema ni kwao na hawachaguliwi la kusema. Hongera sana. 2
@
@shekhafilfil1634 years agoHongera sana misa bado mdogo sana hamisa kumiliki nyumba hongera mwari. 5
@
@halimams21274 years agoHongera sana hamisa mungu hamtupi mja wake ubarikiwe sana uzidi kusonga. Mbele mama. 1
@
@baranmohamedmbashir52994 years agoMungu akupe afya njema inshallah akubariki inshallah. 1
@
@halimahalima48924 years agoHonger san dad hamish mung atakuxmamia waache waxme we fwat yako. 3
@
@masharubundevu37654 years agoMungu akuongoze akufanyie wps kwa kila jambo. 1
@
@salomessmart98143 years agoHakika mungu aendelee kukuinua zaidi hamisa.
@
@sadiaabed66874 years agoWatu hawaamini kwa hamisa maana anapenda kiki sana kama gari ya kiki lakini itakuwa vizuri mama diamond atahayari ikiwa itakuwa ana nyumba huo jamisa isijeikawa nikiki. 2
@
@zainabubanda76834 years agoNampenda uyu dad anavo pangilia mavazi. 1
@
@olgacaleb27904 years agoHamna cha mjengo wala nini. Ila me hua nakuaminia dada kwa kazi yako nzuri but kwa hili litakupa uongo shogangu mchengo apo amna. 1
@
@celinekanda18504 years agoWewe mnafki ulisema misa hana chochote for you info shez going to launch mobetto hairs. 3
@
@khadijaoman40854 years agoPongezi kwake maana wasanii wengi wanahiyari wakodi majumba ya kifahari kuliko kujenga hususan wasanii wakike akili zao zote zipo kwenye maurembo 2 na sifa za kijinga. 9
@
@najmaanajma11954 years agoMabrook alfu mabrook allah akuzidishie rizki yako bila hisab amin yarabiy. 7
@
@neemaberny35984 years agoHaya mwenye nyumba akijitokeza mtutangaziewa bongo bana mnashindwa kuwa proud na kile cha kweli mlicho achieve ukweli mpka mdanganye! Si useme tu nime make nimehamia nyumba bora zaidi. Kazi kwelikweli.
@
@arafajabir31944 years agoHongera yake hamisa yaliyompata zarina hassan kwa nyumba na hamisa yamempata allah kareem mungu ni mwema.
@
@ashulamusin98114 years agoSafi mama mkwe wako akajifiche chini ya jiwe nawale wote waliokua wanakuita maskini.
@
@zulfamohamed45494 years agoVizr kama amejenga amemaliza nivizr maan kwenye habar yanyumba amemaliza bas atafanya mambo mengine t. 3
@
@mikarospius80844 years agoYaani mnaonesha hotel za watu eti nyumba zenu. 2
@
@zakyahya46454 years agoKm kweli kama uongo kama kajenga kama kanunua iyo ni sehem y life yake binafsi ainishtui.
@
@mlasinyongolo32564 years agoAjenge asijenge, anunue asinunu misa madame hero ktk maisha yake.
@
@hassanmmacha79164 years agoKwani kk zimeisha eti nyumba ya hamisa kwani nyinyi waandishi hamna habali za kuandika. 1
@
@katurukiladispensary53694 years agoKweli maex wa diamond kaz wanayo pia wana jeur hawapend dharau kabisa wanaamua kujenga nyumba zao, tunamsubir tanasha nae, na alivo mlendamlenda. 9
@
@st.schogg67724 years agoWao, god will bless me to i complete mine. In jesus name. 1
@
@passionlove19924 years agoAnaejua huyu mdad anatumia jina gan insta, naomba aniambie.
@
@kessynurutajiri30754 years agoJamani tumechoka kupigwa changa la macho, kwenye pati yake ya kuzaliwa tulionyeshwa gari ya maonyesho. Ili tumwamini atuonyeshe hati ya nyumba, vinginevyo hatumwamini ng' o. 4
@
@celinekanda18504 years agoAlihamia hapo december for your info mlimsema sana wee mnafki. 1
@
@halimabakari50784 years agoKama na wewe unamsubiri lokola ajehill, please gonga like yako hapa. 1
@
@fetychina32734 years agoWw mtangazaji acha umbea ulitoa rist ukasema hamissa hajapata mafanikio katia mwaka ulio isha? Na ukasema huwa ana piga dili za bule? Haya sasa leo kachukue wembe unyoe. 4
@
@kessynurutajiri30754 years agoSasa kuonyesha hako kamguu halafu unajificha ficha nini? Si umeamua kuonyesha utupu. 3
@
@evancedaniel73224 years agoMbona hata ww kama una kinyongo ss duh.
@
@dorislema18144 years agoUyo mtoto kafanana na lulu kama wake aise.
@
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 years agoMkiji bleach jipakeni hata magoti mkorogo. 1
@shekhafilfil1634 years agoBinadamu huwawezi anaesema hivo yeye anayo midomo tu. 2
@
@RekhaRekha-es8br4 years agoWashamba mara hijambu mara uleve washamba waemrevurevu shwa na wahindi.
@
@mariamukajiru18984 years agoHawaamniniki hawa kwakuonyesha nyumba za watu, wema alisema amejenga nyumba yake 400mil mwisho wa siku mwenye nyumba kajitokeza na kumtupia vitu nje. 3
@
@ntamugabobizi45804 years agoSiwezituma inia bwana waleo naye ajifuze hakiri aje ge ka kuwe ka dogo kake kesho asikose kondi tena wamucheke.
@
@sponsor78824 years agoAlafu anze kutusumbua na hela kodi mwakani.
@
@mwansaflorence68624 years agoHicho ndokwako hamisa uongo, mara umenunua range kumbe kakodi.
@
@erlinghaaland94124 years agoBaba ako mobeto kiboko kadanga mpka kajenga nyumba yake. 3
@
@nurumunguakutangurirabdull44724 years agoNaikweli basi maana wamitaan bado hatujaongea kitu kama kweli tunashukulu. 1
@
@aminajuma29814 years agoTutajua tu apo baadae atoe wapi nyumba yake. 1
@
@nuurinkluge75844 years agoSome of tansania women they like only fake life.
Related videos for Nyumba mpya ya HAMISA mobetto yaibua makubwa Watu hawataki kuamini wanacho kiona: