Duration 3:12

Reker -UJE (Official lyrics video) AN ENDLESS EP

704 watched
0
56
Published 21 Jun 2022

Song : UJE Artist :Reker Producer :Fresh Sound Record Label :ICAN MUSIC Manager :Luxer MG Country (Tanzania - East Africa) Nakukaribisha kusikiliza /kutizama Ngoma mpya (New Sound) kutoka kwa msanii wenu people's choice REKER ni wimbo mzuri wa mapenzi kwa ajili ya wapendanao kwa dhati pia hata wewe ambae hujapata karibu kuisikiliza nyimbo hii utajifunza kitu na amini ipo siku utapata wako wa dhati. THANKS Pia nipendee kushukuru wote walio husika kuikamirisha hii project Luxer MG manager wangu namuahidi kufanya kazi kubwa zaidi na zaidi Bila kumsahau producer wangu - Fresh Sound Our Slogan TOGETHER WE CAN #ICANMUSIC

Category

Show more

Comments - 42