Wimbo: Twasubiri Asubuhi
Mtunzi Na Mwalimu: Clement Mgweno
Waimbaji: Magadirisho SDA Choir, Arusha- Tanzania.
Wimbo huu umerekodiwa mubashara wakati kwaya ya Magadirisho ikihudumu katika mikutana ya Shangwe Katika Njia Yake iliyofanyika katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kizota mkoani Dodoma.
Category
Show more
Comments - 7
Related videos for Twasubiri Asubuhi Njema - Wimbo Mwingine Mzuri Sana Kutoka Magadirisho SDA Choir, Arusha Tanzania.: