Duration 5:41

''TAZAMA ANAKUJA KUHANI''BALOZI WA BABA MTAKATIFU ALIVYOWASILI ABASI YA ROHO MTAKATIFU MVIMWA..

233 814 watched
0
957
Published 26 May 2021

Category

Show more

Comments - 89
  • @
    @ponsianamataka46073 years ago Asante mungu kuniumba na kunifanya mkristu mkatoliki. Naomba niishi kitakatifu niingie mbinguni. Nalipenda sana kanisa katoliki na watu wote. 18
  • @
    @nyansokayowa9564last year Asante mungu kwa zawadi hii ya mwaka 1990 nchinimungu kwa niumba mkristu makatori wa roma. 2
  • @
    @ceciliachitanda10833 years ago Najivunia kuwa mkristo mkatoliki nakuomba mwenyezi mungu nijalie nife na imani yangu. 3
  • @
    @elizabethwanza2688last year Am soo happy to be a catholic, asante yesu. 3
  • @
    @agnesmaumenee85922 years ago L' ternel seul est dieu! Lui seul toute la gloire, que tous le craignent et connaissent que l' ternel seul est dieu au nom de jsus christ amen. 5
  • @
    @wabulegrace63352 years ago Iam happy to have converted to catholic faith. 2
  • @
    @manasseskamau53273 years ago I have never been a catholic but their music has some sacredness which makes the heart to yearn after fellowship with god. 4
  • @
    @zawadimkambilwa73993 years ago Utume mwema katika bwana wetu yesu kristu. 3
  • @
    @shahkibiki89663 years ago Asante yesu kwa kunifanya kuwa mkristo. Amina. 5
  • @
    @esterpantaleo2463 years ago Daa! Kuna nyimbo ukizisikiliza unaweza kuhisi kama unapaa vile kwenda mbinguni. Daaa! Am proud to be a christian ( catholic. 5
  • @
    @zawadimkambilwa73993 years ago Asante sana watumishi wa bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia . ...Expand 1
  • @
    @raymondmushi33103 years ago Karibu sana baba askofu mkuu marek solzwensky. 1
  • @
    @kassiansigore16132 years ago Ee mungu baba yetu waimalishe mapadri na maaskofu ili waweze kuchunga vyema kondoo wako. 2
  • @
    @verono87663 years ago Wow great following from kenya isebania parish. 4
  • @
    @enockkiptanui2548last year Mungu atujalie tuweze kuishi wito tulioitiwa.
  • @
    @nimrodkasejere67173 years ago Wow am watching it on a hospital bed but am rejuvenated. 8
  • @
    @nasrahassanmasesa37453 years ago Wimbo na upenda huu mimi nimewachanguw duniani ilimpatenda kwenda kuzaa matunda nice. 3
  • @
    @veronicapaul28353 years ago Ee mungu ongeza watenda kaz shamban mwako. 3
  • @
    @ellyalunga96303 years ago Mungu pekee yake ndiyeyeyote kukubali kuitwa mtakatifu ni chukizo.
  • @
    @roselyneachieng76383 years ago Eh mwenyezi mungu azidi kukutia nguvu akuongezee uchunge kondo. 1
  • @
    @michaelndilima62103 years ago Mungu naomba ulibariki sana kanisa langu katoriki. 2
  • @
    @maliamwamtobemwamtobe10513 years ago Hadi raha hamna vurugu za kuruka hu ok ndo ukatolm halisi.
  • @
    @ronaldmsofe7926last year Hii nyimbo ya kwanza ya kuhani milele ni kwaya ipi wameimba na wimbo unaitwaje.
  • @
    @fredrickgitonga19723 years ago Akuna mamba na ukuhana wakati huu kwa sabubu yesu kristo ndiye kuhani mkuu uko mbinguni soma maandiko matakatifu katika kitabu cha hebrews 1: 10.
  • @
    @zegelibilishanga47613 years ago Baba anawekewa kapet nyeupe kama raisi
    jifunzen kwa baba asiko kigoma anavyojishusha na kazi zinasonga mbele.
    1
  • @
    @jwatchtowerjkt3 years ago Sungguhuakkan. Slrh ritualitas mu. Sdr2ku katolik. Smua itu. Menghujat nama kudus allahbhk lbh Nab1: 15. Mkbranguss dr mka bmi. Ini. Sgrpaham. ...Expand
  • @
    @zawadimkambilwa73993 years ago Asante sana watumishi wa bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia . ...Expand 1
  • @
    @jwatchtowerjkt3 years ago Sungguhuakkan. Slrh ritualitas mu. Sdr2ku katolik. Smua itu. Menghujat nama kudus allahbhk lbh Nab1: 15. Mkbranguss dr mka bmi. Ini. Sgrpaham. ...Expand