KOZI 8 ZENYE AJIRA ZA HARAKA TANZANIA/ KOZI ZENYE SOKO LA AJIRA
Kama umemaliza elimu yako ya sekondari na sasa unataka kujiunga na chuo jua kuwa kuna kozi nyingi sana katika vyuo tofauti lakini kwa mujibu wa soko na uhitaji kuna kozi zenye ajira finyu na kozi zenye ajira za kutosha na zenye nafasi ya kujiajiri, Tazama video hii ili kujua ni kozi gani hasa zinakufaa usisahau kushare na washikaji.
RECRUITMENT AGENCIES IN TANZANIA
Prospect africa
Manpower agency
Bizonline Recruitment
Radar Recruitment
Erolink
www.shughuli.com
www.tzonline.com
Enrich Africa Ltd
www.brightermonday.com
Jobconnect
www.redma.com
Talent Resources
www.emaron.com
www.empower.co.tz
Professional Approach
Delloite & Touche
Professional Recruiters
Genius Consultancy
Link Up
Shughulika Recruiters
Epic Business Resources Limited
www.naombakazi.com
www.kazi999.com
www.everythindar.com
Masai Empire Tanzania Ltd
Gamurous Tanzania Ltd
@elishacharles85674 years agoCku hz hamja ajira kote ni kupambana tu na kujiajiri 2
@
@sulea2594 years agoJaman vp kuhusu koz ya geomatcs ni mzur 1
@
@dullyboy11394 years agoVip kuhusiana na medical laboratory science kiupande wa soko la ajira mkuu na mshahara wake una range kias gani
@
@milliontonne58194 years agoMbona Sion mineral exproriation and geology 2
@
@samuelmacha284 years agoBsc in clinical nutrition and dietetics vipi? (Ni mpya kiasi) 1
@
@amanimimbi23253 years agoYaani ni Tanzania làkini hata engineer Wa kielelezo ni mzungu.....tujaribu kwenda na uhalisia basi...hii ni mbaya..tuone waafrika wanang'ara hata kwenye picha 1
@
@johnshao11234 years agoVp. Kozi ya housing and infastructure planning management ina soko?? 3
@
@neemamwanja10284 years agoVipi kuhusu urban&rural planning?? 1
@
@shabansospeter22984 years agoNimesoma hgk Nina one ya 9 nishauri niingie wap 2
@
@rjchild19904 years agoNo Engineering course... Utakuwa out of your mind... Nilikuwa nimesubscribe imebid nitoe chap 2
Related videos for KOZI 8 ZENYE AJIRA ZA HARAKA TANZANIA / KOZI ZENYE SOKO LA AJIRA: