Comments - 32
  • @
    @benjaminsteven4914 years ago Anaye mwelewa nyelele elewa like nyingi kwangu. 18
  • @
    @rashidwalwanda19914 years ago Mungu akurehemu mahali ulipo raisi wa africa mashariki tutakukumbuka sana. 6
  • @
    @lameckmathias11884 years ago Freedom and unity fighter. Haukueleweka lakini saivi wanakuelewa. Yote ni sahihi video hii viongozi wangeipitia mara kwa mara. 14
  • @
    @williamkirway46203 years ago Wosia muhimu sana, tutapata maarifa namna ya kuwa na tahadhari ktk jamii na utamaduni. 3
  • @
    @obagoabhiathan35654 years ago Remember you baba yetu wa nation julius kambarage nyerere pia we live lea vision zako. Forever i will miss and remember you. 7
  • @
    @gracependo44383 years ago Mwalimu nyerere ni mtu wa philosophy ya hali ya juu mie hupenda kumsikiliza sanaa, mwingine niliyemfatia toka teen-agers -utoto wangu ni tomas sankara mpaka dakika za mwisho. 2
  • @
    @Ramadhanimsingwa3 years ago Yaani mi kwa mapenzi ya dhati ya moyo wangu ni kwamba nilimpenda sana hayati baba wa taifa j. K nyerere na hayati j. P. Magufuli niliwapenda sana kwa uwezo na maono yao mungu awahifadhi. 3
  • @
    @user-ig2ol6oi9k11 months ago Mungu aiweke mahali pema peponi, mwalimu julius nyerere. Mimi nilanza kupenda sera zake kutoka nikiwa shule ya msingi. Ilikuwa 1971 mpaka leo.
  • @
    @somicotv30003 years ago Great, great, great. The only son of africa who loved it the most. 1
  • @
    @augustinbigirimana3791last year Niko murundi lakini machozi ananitoroka nikisisikia speech za huyu simba wa africa, tunge mupata kiongoz kama yeye tusinge kumbwa na mtego ya wazungu ilitufanya tuuane. 3
  • @
    @ibrahimjobu91414 years ago Genius huyo wa duniani ndio huyo sasa anaesumbua baba tumbua mbaka wakubali. 4
  • @
    @philbertmwanakusya80505 months ago Ni sawa serikali moja inatosha kule kuwe wakuu wa mikoa na wabunge its enough mwl umenena inatosha.
  • @
    @gideonmgaya70093 months ago Zawadi kutoka kwa mungu ni bahati kubwa kwa tanzania kuwa na kiongozi kama huyu.
  • @
    @denicemwitakabwere67703 years ago Kama umemuona mzee wa busara wa msoga gonga like.
  • @
    @abdalahgunda13193 months ago Not every single comment on our first leader late julias kambarege nyerere is the key point same ather comment of late julias kambarege nyerere is you to add your capacity to see way of drive your leadership on saif control. ...Expand
  • @
    @gracependo44383 years ago ! Ahaa was my opinion too why mfumo wa nyama vingi? Ccm inatosha.
  • @
    @briansancedo93364 years ago Mwalimu nyerere tunakumbuka sana, ila bado matatizo umetuachia matatizo makubwa kuhusu siasa.