Duration 9:16

Dr. Chris Mauki: Athari 5 za Kukosa Usingizi wa Kutosha

6 020 watched
0
148
Published 15 May 2021

Je unafahamu kwamba kukosa usingizi wa kutosha kunaweza ku kusababishia magonjwa makubwa ya kiafya? Je unafahamu yamkini matatizo ya kiafya unayo yapitia mara kwa mara yanasababishwa na wewe kukosa usingizi wa kutosha? Hizi hapa athari 5 za kukosa usingizi wa kutosha. Nina uhakika zitakusaidia sana.#DrChrisMauki#Athari#Usingizi

Category

Show more

Comments - 27