Duration 5:43

Dr. Kumbuka: Wanaume mnaowathamini Vimada kuliko wake zenu, Mkome

44 192 watched
0
351
Published 18 Oct 2017

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa 100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Category

Show more

Comments - 109
  • @
    @brianmagali54865 years ago This is more than message, point noted! 3
  • @
    @natakanumberzampambaj84674 years ago Doctor kumbuka mwenyez mungu akuzidishie umri nakupnda san walah ilike ur speech nakusikiza kutoka count 254.
  • @
    @fatmakombo75844 years ago Asante kaka wambie kaka zetu na baba zetu loo.
  • @
    @sarahmohamed3375 years ago Mwenyezi mungu akueke kumbuka kakangu. 2
  • @
    @jA-ox7vz6 years ago Dr. Kumbuka na mzee wa ngenga mwishoo. 2
  • @
    @kibongobongo46087 years ago Message sent
    mwenye akili atalifanyia kazi.
    5
  • @
    @pierreoriva41315 years ago Wew jamaa noma nimesikia mbingu, ifakara. 1
  • @
    @zaharasayyid57244 years ago Waambie kaka huwa hawakumbuki walipotoka.
  • @
    @tabumduma335 years ago Khaa yaani wapo wazalilishaji kisa hawara baba. 1
  • @
    @mwadawabekwa36957 years ago Mwanaume lijali aliyefunzw na mamake utamuona tu kaka kumbuka upo juu nakwambia 100% wanaume wengi washamba sana wakikipata pesa wanajiasau. 7
  • @
    @messinakidodi5795 years ago Wape maneno. Ii message n ya wale wanaume wanaojisahau wakipta hela. Chamba ao shenzy. 3
  • @
    @TanzaniOman5 years ago Hahahaaa nimecheka mpaka bac maan umenilenga brother. 2
  • @
    @elishangoma82354 years ago Duh jamaa hana nukta maneno yanaporomoka kama yame dunguliwa. 1
  • @
    @zahramunir85966 years ago Mh. Yote hayo yapo, hebu pasua huo ukweli. 1
  • @
    @jesscahmshana51046 years ago Sura imekupauka ka mizani ya chalinze loh.
  • @
    @abdulatifmoxamed80474 years ago Ngoja uone bado mtoto mdogo wewe unaongea kama huna experience ya maisha yote unayoongea kuna wanaume yamewakuta kufanyiwa na wake zao. 1
  • @
    @user-ot3ht3qd2g4 years ago Umeyamaliza baba wewe. Naskia chozi. Linatakanmepitia. Lkn najua mungu yuko.
  • @
    @lisajackson58675 years ago Hahahaa dr kumbuka sku y arus yngu lzm uw mc wangu nakupendaga san ww kaka point. 1
  • @
    @hollynationproductions63266 years ago Huyu kaka nampenda hatari dah kwakwel waambie.
  • @
    @jainaboman89525 years ago W aambiee wamezidii kujipaisha wakiwa nje hujifanyaa watunzaji lakini hawana moja wala kumi namoja wapashee.
  • @
    @aishasaid57025 years ago Waliodislike ndo hao yanawahusu hadi mawaidha wanadislike.
  • @
    @najathyrashidy576 years ago Kawagusa ndio maana mwasema sio mwanaume lenu ilo.
  • @
    @yolakahmathews69136 years ago " mashavu kama vile unaumwa safura" lol.
  • @
    @hawaally82345 years ago Kumbuka umenikosha yani wakipata pesa hawasikii hawajali mwisho utaskia we mchafu wakat hata ela yakusuka nywele za 10 zinamshinda mtu unapaka mafuta yakula je utanukia saa ngapi kumbuka wachambe labda wataelewa. 1
  • @
    @fasterwalker14645 years ago Huyu ni shoga nini
    chogo ka mzinga wa gongo kah nimekubali.
  • @
    @fatmajuma50617 years ago Umenikosha funguka uso umempauka kama mizani ya chalinze ha. 1
  • @
    @mariamissa41866 years ago Kwamwanaume mwenye akili atalifanyia kaz wacha mie nitafute badae niishi kwa raha.
  • @
    @edwardsichilengwe23305 years ago Umepauka uso kama mizani ya chalinze, hili dongo linanihusu walahi.
  • @
    @najathyrashidy576 years ago Wape wanao kuponda ujue yanawahusu wap usiwasikilize wajinga awo. 1