Duration 28:14

Somo La Kuepusha Kuendelea Kupoteza Hela Zako Kwenye Sponsoring Ads (Facebook & Instagram Ads)

227 watched
0
3
Published 27 Nov 2020

Please watch: "SIRI HII YA UFANYAJI WA MATANGAZO INSTAGRAM HAUTAAMBIWA" /watch/AkAm4eQykrvym --~-- Na wewe ni moja ya watu ambao huwa unafanya matangazo ya kulipia facebook na instagram lakini haupati matokeo mazuri? Je upo tayari kujifunza namna ya kuweza kuepuka kuendelea kupoteza fedha kwa matangazo ambayo unayafanya? Kama jibu ni NDIO basi chukua karatasi na kalamu na anza kupitia somo hili kwa umakini huku ukiandika vile ambavyo nimesisitiza. #nasawatejamtandaoni #ongezamauzoinstagram #instaforbusiness

Category

Show more

Comments - 3