#Sebuleni #ZaidiNaZaidi
Jumatano hii Kwenye Sebuleni ya Plus TV na Gift Swai, Sikawa Junior & Kevin Lameck tutaangazia ni kwa namna gani tunaweza kutunza mazingira yetu hasa katika kipindi hiki ambacho miradi mikubwa ya maendeleo inaendelea kwenye maeneo tofauti tofauti nchini.
Usikose kuanzia saa 1 hadi saa 4 kamili za asubuhi LIVE on DStv channel namba 294.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for NAMNA YA KUTUNZA MAZINGIRA KWENYE MIRADI YA MIUNDOMBINU: