Duration 5:44

DStv YAIPELEKA MICHUANO YA NDONDO CUP INTERNATIONAL

65 watched
0
1
Published 21 Aug 2020

Michuano ya mpira wa miguu hapa nchini maarufu kwa jina la NDONDO CUP imezidi kujizoelea umaarufu kutokana na aina yake ya soka la uswahilini na kujikuta michuano hiyo ikipata udhamini mnono wa kuonyeshwa Live kupitia Plus TV channel 294 ndani ya DStv huku kampuni ya Bank hapa nchini KCB @kcbbanktz nao kuweka mkono wao wa udhamini katika michuano hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Ronald Baraka Shelukindo amesema kuwa michuano ya NDONDO CUP imekuwa ni michuano inayotoa burudani ya kipekee na michuano hiyo kuonekana Zaidi ya nchi 30 kwa Afrika Mbali na hilo pia Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Jacqueline Woiso yeye kwa upande wake aliizungumzia siku ya leo ni siku maalum kutokana na michuano ya NDONDO CUP inakuwa ni mara ya kwanza kuonekana kupitia DStv.

Category

Show more

Comments - 0