Duration 1:59

HUYO KOCHA WA YANGA AONDOKE HARAKA IWEZEKANAVYO

77 watched
0
2
Published 29 Jul 2020

Mashabiki wa Timu ya Yanga Mjini Geita wameunga mkono hatua ya kocha wa Yanga kufutwa kazi kutokana na kudaiwa kutoa maneno ya kibaguzi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Category

Show more

Comments - 0