Duration 5:19

Mkate wa mchele /wa kumimina/ rice cake

1 031 703 watched
0
14.8 K
Published 13 Jan 2018

Ingredients 4 cups basmati rice (soaked overnight ) 4 cups water 200g coconut creamed 1 and half cups sugar Cardamom 1 tsp 2 tbsp yeast You can use 4 cups of coconut milk instead of water and creamed coconut ____________________ Instagram: jifunze_mapishi for business enquiry only 📧 shunaskitchen@gmail.com ____________________ Mahitaji Mchele basmati vikombe 4 (uliorowekwa usiku mzima) nimetumia tilda Maji vikombe 4 Nazi ya kiboksi gram 200 Sukari kikombe 1 na nusu Iliki kijiko 1 cha chai Hamira vijiko 2 vya chakula Au unaweza kutumia nazi ya maji vikombe 4 na ukawacha kutia nazi ya boksi na maji ______________________________________ More suggested videos 🔶Kaimati / luqaimat - Sweet dumplings 👉 /watch/0fr8E17IvSJI8 🔶Muufo bread - Mikate ya mofa 👉 /watch/c89p5ZH0uJR0p 🔶Fish sticks/Chop sticks - Fish stick kebabs 👉 /watch/c6gxirx_-By_x 🔶Whole wheat & oats porridge - Uji wa ngano 👉 /watch/kHJo6wL_3eu_o 🔶Mince potato chops - Katlesi za nyama 👉 /watch/8q-NNB6xb6wxN 🔶Viazi karai - Spicy fried potatoes 👉 /watch/8YzfaBqls72lf 🔶Sesame bread - Mikate ya ufuta 👉 /watch/sJdkJj33YLs3k 🔶Rice pancakes - Mikate ya chila👉 /watch/k0Z1NyT2p3B21

Category

Show more

Comments - 1260
  • @
    @laylaali50486 years ago Asante mm nimejaribu umekua kama wako.asante.sana.mungu akulipe 76
  • @
    @khalfanmbaroukmohd49433 years ago Mashaallah hii video nimeisoma vyema sana na umetoka vizuri mashaallah Asante kwa somo zuri na nisiwe mchoyo wa fadhila na dada yetu aroma pia nimpe asante yake kwa kutupaheshima huku tulipo nchi za watu alhamdulilah tunaheshimika sana kwa kupitia elimu zenu bila malipo zaidi ya viewers shukran sana allah atawalipa ujira mwema nyot walim wangu ... 6
  • @
    @spicykitchen20836 years ago Looking delicious.
    I will try making it.
    6
  • @
    @spicykitchen20836 years ago Thank you very much.
    Makate receipe looks good.
    I am going to try tomorrow.
  • @
    @natashaally1922 years ago Mashallah you are the best. Unaeleza vzr sana. Nimejifunza mno kwako
  • @
    @zamzamomar84925 years ago Thank you for this i just learned how to make my childhood favorite Street Food ❤️ 8
  • @
    @fsalim25295 years ago MashaAllah...
    Mngu akuhifadhi tunapata faida,JazakiLLAHIlkheer 😚
    4
  • @
    @user-og3xg3qj7i4 months ago Mashallah hi video Iko swa na nimejifundisha nayo Asante Dadangu
  • @
    @janemalegesi95044 years ago Ninapenda sana kujua kupika huu mkate wa mchele jamani sijaweza. Ila umeelezea in a simple way ntajaribu tena. Thanks a million.
  • @
    @faithnnancy43786 years ago Wow have been looking for these for internity 5
  • @
    @zainabboo32056 years ago Asante leo ntajaribu kupika ila tatizo Michele nimeloeka saatano asubuhi sijuiutatokaje 5
  • @
    @anjali9725 years ago thanks for recipes, I love mkate, especially thanks for u mention English measurement.
  • @
    @thesheriff91582 years ago Huu mkate wanikumbusha zamani umeleta memories za home tukiambiwa nendeni mukaweke order ya mkate wa sinia kwa mamake Anisa jirani. Looks delicious 1
  • @
    @nasrinzenner59535 years ago MashaAllah very nice🤗 my fav mkate wa sinia😚
    Thank u b blessed and your recipes are superb..
    Wanted to knw Cup measurements for sugar and water is it same as rice cooker cup?
    4
  • @
    @aishaomar96212 months ago Mashaa Allah tabaraka Allah ❤ nkuulize ukiusok saa mornng alafu upike hautakuwa ...
  • @
    @theresiagasto79116 years ago Waooo! Mash Allah Nimeipenda bure unaelekeza vizuri sana
  • @
    @user-si2mp2io9t10 months ago ❣️ Mashallah ❣️ NAMI ❣️ nitafanya ❣️ inshallah ❣️ Mimi ilinipata Kaz ya kubeba jikon la mkaa Zanzibar kuja nalo Dubai 😢kumbe ilikua Haina haja 😢ama kweli asoju😅 a 💕 maana 😅 haambiwi 💕 maana 😅 ukimwambia 💕 maana 😅 ataona unamtukana 😅 ahsante 💕 kipenz 💕 ...
  • @
    @paulinamkumbo35922 years ago Ahsante nitajaribu Kesho nitakupa mrejesho ahsante sana momy
  • @
    @zammyally31216 years ago Love your cooking but I don't have that type of oven,I have electrical can u help me there and can I use just a normal sufuria? 3
  • @
    @Isaam-Clips6 years ago Asante kwa video 😍😍 I will try Inshallah
  • @
    @jeanmarie4696last year Vizuri sana Nami nitajaribu Ku upika mukate huu.
  • @
    @mariej69626 years ago Dah. Nimekula sana utotoni mkate wa mchele. Ila tulipikia kwa mkaa. 3
  • @
    @MrLiehus3 years ago How long do you keep the blended mixture to raise with yeast, before heating and baking? 3
  • @
    @umkhalid.almasroorimashall85904 years ago Mashallah napenda mapishi yao unavyofundisha💯💝💝💝 1
  • @
    @jasminngoya1107 months ago Ahsante sana soon naoka na mimi pia napenda mkate wakumimina
  • @
    @ainatmohd83083 years ago Asante na ww my mm nlikuwa naomba Rcp ya vijoya na mikate y Habibi badia za kababu
  • @
    @olipherirungu30014 years ago This is great recipe,I have to try it.👍
  • @
    @abuwisaaam54016 years ago Asalam Aleykum WaRahmatuLlahi Taala WaBarakatuh. MaaShaa Allah. Swali kuhusu kuwasha oven hua ni how much?. Cc twatumia 350°. Napia wawasha oven kabla kuutia mkate?. Naupenda sana mkate huu. Please help kwa moto kiasi chake. Afwan ... 4
  • @
    @fatmaalrashdi15776 years ago Mashallah ntajaribu hivo ulivo fanya maana Mimi kila kipika hautoki vizur shukurani 7
  • @
    @AminaKoba-cp6zwlast month ❤❤❤❤❤ nimependa ni mzuri na mm nitafanya mashaallah
  • @
    @ruiyaruiya81115 years ago mashallah nimevutiwa mnoo na maelezo ya mapishi yako ni mazuri na yanaeleweka. na nikjaribu nafanikiwa. ubarikiwe sana.
  • @
    @nasrahabdulatiffattass23105 years ago Assalam aleykum Habibty, Habibty naomba tuonyeshe namna ya kupika huu makate kwa makaa ya moto. 3
  • @
    @raysalalmandhary17136 years ago MashaAllah nimeipenda. Allah akubaarik habibty. 5
  • @
    @elizabethamangu54124 years ago Asante kwa somo nilikuwa nawazia jinsi y kupika
  • @
    @ummunikharusi71053 years ago Mashallah mzuri wa matundu asli👌na njia yako very simple inshallah ntaijaribu
  • @
    @kamoteismailkamote16746 years ago Asallaam alykum, mashaallaah mkate unapendeza na mie ninajaribu kutengeneza, hivi nasubiri uumuke nipate kuupika. Kheir in Shaa Allaah. 3
  • @
    @kadulathumani75175 years ago Nimeipenda hii method ya kuchanganya kila kitu pamoja
    Ina save time na ni very.simple. Thanks
  • @
    @user-ey9nh5ob4w2 years ago Your explanation is very simple .Thank you 2
  • @
    @mwayoyomaida67576 years ago Mashaallah yummy.samahani sster,je unaweza kutumia maziwa badala ya nazi? 4
  • @
    @fatumamwantumu40813 years ago Yani unafundisha paka unaelewa ahsante ninejalibu kupka nami nineweza ahsante
  • @
    @mbaroukabdul34305 years ago Katika vedio rahisi ya kutengeneza mkate ni ya kwako 4
  • @
    @kebahizza28894 years ago Yanii i like it so much....gonna try soon 😍😍
  • @
    @neemamohamedi82675 years ago Ma shaa Allah habiby hakina Mungu akupe umri mrefu recipe zako zinaeleweka sana
  • @
    @zuhurabilal53214 years ago Mungu akubariki sana vitu vingi natoa kwako
  • @
    @irenkelvin12174 years ago Mashalaah uko vizur sana tunamshukuru kwakutu elimisha kwa njia rahic
  • @
    @agathaphoteen35746 years ago Asante kwa somo la mapishi hii naijaribu nitaleta mrejesho
  • @
    @shamimjivraj41643 years ago Thank you very much for sharing your recipe.
  • @
    @salomeplacidmkude51304 years ago Asante kwakutufundisha mapishi. Mi vipimo vya vikombe vinanichanganya ukisema vikombe vinne sijuwi ndoinakuwa mchele kiasigani bora ungetaja nakiasi gani. Kwamfano vikombe vinne nisawa na kilomoja au nusu
  • @
    @kivulivillaslast year Thanks you have helped me alot to make mine
  • @
    @khaashfarfarid42214 years ago Asante habbty nimejaribu kupika Yan mashallah umekuwa kama wako shukran Sana zid kutufundisha Zaid nakupenda 💕💕
  • @
    @tijalaabdala42414 years ago Napenda mapishi ya da shuna nakufuatilia sana
  • @
    @user-xc2zf6jx3o4 years ago Shukran kwa kunipa vipima nzuri ,lkn naomba uzidishe sauti
  • @
    @sajamohamed97272 years ago Mashallah shukran nmepika umekua hvo sema wangu chiniii umeivaa rangi but da same shukran Allah bariq 🙏
  • @
    @mariammohammed83162 years ago Masha Allah your perfect sis looks nice and delicious 😋
  • @
    @sahararshad28063 years ago I.made this is ramadhan n it came out perfectly..MashaAllah
  • @
    @fareedafazel61064 years ago Salaam Alaikum ,
    Asanteh Sana Sister,
    It looks yami yami
    I am going to try inshallah in 2 or 3 days. This is my favourite dish
    Becos i am from Kenya, Mombasa.
    Love to come to Zanzibar
    Inshallah will meet
    God Bless you
    Ameen.
    ...
    2
  • @
    @spicykitchen20836 years ago My makate turned out nice thx
    God bless.
  • @
    @zeinabsubra39036 years ago Mashaallah mate umependeza sanaa na maelezo yako rahisi mno kufuata..JazakAllah Kheir☺
  • @
    @halimaalmabsali87934 years ago 😋 nice bread thank ....dear how to make vitumbowa
  • @
    @shuuabdallah69212 years ago Mashallah nitamuomba mungu leo sijawahi kupika ukatoka mzr leo inshallah nitajaribu 🥰🥰
  • @
    @evalyimo83395 years ago Hi. I thank God for your soft loving voice. Mkate mzuri sana, very tasty, congrats Shuna. You're blessed
  • @
    @salmachao76456 years ago MashaAllah, nataka kuanza kujaribu na kikombe kimoja Nipe kipimo tafadhali 1
  • @
    @salamakhamis72456 years ago Mungu akuzidishie ujuzi dada na akulinde uzidi kutuelimisha namimi leo naomba Mungu niweze kuupika
  • @
    @ngooaggie84716 years ago Asante dadangu, hii nitajaribu God bless u
  • @
    @lusiahaule44814 years ago Nimetengeneza kama wa kwako ni mzuri sana
  • @
    @husnawangui7143 years ago Maashallah, asante sana nlikuwa sijui kupika mkate wa sinia
  • @
    @maryamsenga19813 years ago As alaykum shukran kwa recipe, nilitaka kujua kama nnaweza kupika kwa kutumia unga wa mchele instead of kuroweka
  • @
    @mercyswai61304 years ago Nimetengeneza mkate dada umeumuka mpaka juu sana nikakoroga halafu nikakoroga nikatia ndani ya sufuria nikaweka juu ya moto mdogo sana. Ukaumuka vizuri tu .baada ya muda ukarudi chini km chapati.
  • @
    @MsSabreena285 years ago Asante. Naomba ufundishe namna yakutengeneza Cassata ice cream
  • @
    @marymungai8894 years ago Mashallah..afu maelezo yako ata masito anaelewa shukran
  • @
    @zawiakinyasi21123 years ago Mashallah dada najifunz mengi kutok kwk
  • @
    @yasminechachou39523 years ago Hi Thank you for the recipe - did you soak the rice before blend it? 1
  • @
    @NasraHamoud-yc1kt11 months ago Maashaallah mkate umetoka vizuri sana♥️♥️ hongera shuna's