Anza kwa kufanya haya mazoezi /watch/81p369hxWuGx3
kisha fuatia haya /watch/c8AAn3u2P8R2A
Malizia kwa mazoezi ya tumbo la chini na pembeni ya video hii, jumla itakuwa dk 30, Fanya kwa siku 6 kwa wiki ya kwanza na uendelee kusubiri mazoezi yanayofuatia.
#lowerabs #absworkout #losebellyfat
Category
Show more
Comments - 65
Related videos for Mazoezi ya kupunguza mwili TUMBO la chini na pembeni Wiki ya 01.: