Duration 3:10

SIMBA SC Vs AFC LEOPARDS.

1 891 watched
0
8
Published 10 Sep 2018

Magoli yote yaliyofungwa kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki kati yetu Simba SC dhidi ya AFC Leopards, jumamosi ya tarehe 08/09/2018 uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Simba SC tulishinda kwa jumla ya magoli 4 kwa 2 dhidi ya wageni wetu AFC Leopards kutokea nchini Kenya.

Category

Show more

Comments - 0