Duration 44:14

ZANZIBAR RAHA TAZAMA SIKU KUU YA EID ILIVYO NOGA LEO

42 830 watched
0
267
Published 24 May 2020

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #JikingeNaCoronaBakiSalama #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Byego cc: Tunu Salum cc: Maryam Busara Camera Department" Dadi Ali Mwarabu Mmadi Nassor Shaibu Abdallah Dula Editors: Juma Maulid Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 103
  • @
    @binnyislamkombo34204 years ago Mashaallah shukrn sheikh kwa khutba nzur madhubut imetulia allah akujaze kila la kher
  • @
    @rasykizanjbari49964 years ago Masha allha,,, hadi raha mungu azidi kuijaalia tanzania na kuyaondosha haya maradhi 11
  • @
    @lkshmykomar54724 years ago Mashallahu M/Mungu azrdhiye swala ze2 na swaumu zetu 9
  • @
    @almashally88084 years ago masha Allah tanzania mumekula idi kwauzuri tu wenzenu kenya ndani kwa ndani 1
  • @
    @rehemaaithumani30764 years ago Mashaallah Allah azikubalie funga zetu na swala na dua zetu 🙏🙏 2
  • @
    @saidomar68064 years ago Allahamdullillah Mola atuondolee kila zito na mabalaa mazito kwetu Zanzibar na dunia nzima inshaallaah🌙🌙swala ya Eid tumesali swalama leo 🤗 3
  • @
    @salimharrasy70474 years ago Subhanna Masha Allah.
    Tunamuomba Allah atutakabalie saumu yetu na tudumishe I'bada.
    A'min.
    2
  • @
    @faizasaleh97834 years ago masha allha. tz. muko. na raha sana. mombsa. tuko na shinda. tuombeni. mungu.
  • @
    @kingelkindy29204 years ago ما شآء الله 💞🌹
    تقبل الله منا ومنكم صالح الأعمال
    الله يحفظكم من كل سوٓء ومكروه
    🤲🤲🤲🤲🤲🤲
    3
  • @
    @nuzhatabdallahkassim1844 years ago Hakuna swala ya dizain hiii ,mmekosea sna hakuna mafundisho yaswala kama hii ,swala mnatakiwa muwe bega kwa bega Leo mnaswali kama mpo kanisani , kama mnaogopa korona mgeswal majumbani kwenu ila sio kwa stayle hii ,Allah awatakabalie swala yenu na walajaalie kheri ila nimtihani kwakweli ... 2
  • @
    @user-qz2yd5wm2m4 years ago Mashaa ullah sisi huku hakuna eid kusali hongereni saaana Allah ukujalieni Amani daaima 8
  • @
    @salummkubwa4 years ago Kullu am waantum bikhair. Eid Mubarak kwenu nyote crew nzima ya KTV , shukran Sauti Byego kwa harakati zako za habari, Allah awajaalie sikukuu njema na ishallah atatuondiolea mitihani yote, Amin.
  • @
    @bi.fbintabuu25004 years ago Mashaa Allah Ya Rabby ya Allah takabal swaum zetu swala zetu Sadaka zetu kiamley zetu jamii isalamii dunia nzima utudumishe ktk ibada zetu Amiiiny
  • @
    @husseinlali21374 years ago ma sha allah nipo out of znz nimeimiss sana eid ya znz in sha allah ajalie eid el adhha ni isherehekee znz 3
  • @
    @hamissmiyaii5084 years ago Tunamshukuru mungu tumeswali iddi salama
  • @
    @michaelsamson96634 years ago Anaongea point san
    From Tanzania mbeya boy👦
    1
  • @
    @habibaayala80464 years ago Mashaallah mungu ampe umiri mrefu serikali ya tz kwa kuwaruhusu kuswali eid
  • @
    @khadhoujjojo3384 years ago Eid Mubarak to all Muslim brothers and sisters wherever they are in this world... Takabbal Allah minna waminkoum
  • @
    @oparetionmaalum90304 years ago Subhana llah kasema kweli hatuna uhakika wakufika ramadhani nyengine
  • @
    @mohdomar53774 years ago It is perfect service wich provide up todate information and intresting news. So what I may is .Keep it up.
  • @
    @arafarashid4174 years ago Mashaallah wa Kaka mumependeza Hadi Raha wallah
  • @
    @fatmajumaa10694 years ago Maasha llah ustadh wetu mungu akupe umri wa maisha marefu na wenye afya njema Amiin
  • @
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 years ago Maashaallah eid mubaraka kullu ammu waantum bikhair eid maqbul waislam wote
  • @
    @samiaalriyami34884 years ago Bismillah masha Allah tabarrak Allah ♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥
  • @
    @karimdaud39934 years ago Imam ulitakiwa kua tofauty na maamuma ungependeza uimam .
    ALLAH ATUONGOZE TUWE WENYE KUSAMEHEYANA.
  • @
    @hashimmabruk89534 years ago WENZETU WALICHAGUA VIONGOZI WA KUWAONGOZA SISI TUKACHAGUA MASHETANI KUTUPOTEZA. MWENYEZI MUNGU ATUONDOLEE ATUJAALIYE VIONGOZI WANYE KUMCHA MUNGU NA WINGI WA BUSARA NA HIKIMA. AMIN
    IDD MUBARAK
  • @
    @goldfishinfo12264 years ago Eid Mubarak to every one mi namshukuru Allah nilikuwa hapo masjid noor Mohammed Leo nimeswali eid halo
  • @
    @aliy33034 years ago Aitwa nan huyu mashallah..enyi media wanyanyueni hawa 1
  • @
    @alizahranmohd40954 years ago mtangazaji nakukubali yaan naona unapita mle mleee alimopita marehem Marin hassan 1
  • @
    @suleimanbakar12714 years ago mnachezewa na makafiri ktk ibada nanyi mnakubali mtihani mkubwa 1
  • @
    @aishaseif71274 years ago Napedasana wazibri wezagu ilala sisi hukutukondanitu Allah azidi kuwalinda
  • @
    @Da-cr6ow4 years ago Masha Allah raha kwa kweli wenzenu tumeishia kuskiliza takbira kwenye status ni ndani tu kama ulimi wa samaki😔😔😔😔
  • @
    @immtm49304 years ago Machozi ya huzuni, namisi sana hii kitu hasa msikiti wa Mchangani
  • @
    @Maryam-yt8lw4 years ago Mashaallah Allah atupokelee ibada zetu inshaallah 1
  • @
    @shefaabdulrahman16514 years ago mashallah wallah allah atuzidishie inshallah❤alhamdulillah 2
  • @
    @siriyangu47244 years ago Wezetu tz wala raha jamani kazi ni kenya yani inauma
  • @
    @katibatanzania30894 years ago Mtangazaji nww umeswali iddy au uko bize na kamera
  • @
    @katibatanzania30894 years ago maashaallwaa Tanzania raha sana uku wenzenu tangu kuingiya korona misikiti imefungwa mmmm yani mitiyani kwakweli
  • @
    @hamissmiyaii5084 years ago Tunamshukuru mungu tumeswali iddi salama