Duration 7:24

AIC DAR ES SALAAM CHOIR-HOSSIANA/HOSSANA (Official Video)

190 743 watched
0
766
Published 24 Dec 2019

AIC DAR ES SALAAM CHOIR Tunakukarbisha kutazama Video ya Hossiana/Hossana. Hakika ni Wimbo wa kumshukuru Mungu kwa Upendo wake wa ajabu kwa kutuptia mkombozi wa ulimwengu Yesu Kristo. #Hossiana/Hossana #mkomboziwaUlimwengu-YesuKristo

Category

Show more

Comments - 185
  • @
    @ivymoraa7832 years ago I just can' t stop listening to you people. U guys really touched my. 4
  • @
    @turahzakayo48824 years ago Jaman wekaka umeimba kwa ndani umegusa mioyo ya watu barikiwa zaidi muombe mungu akupe hekima ya unyenyekevu uimbe zaidi ya hapo barikiweni mnooo. 15
  • @
    @bonfacemukaye78112 years ago The arrangement of the song, the instruments, backup and then the lead vocalist just on another level. 2
  • @
    @agnesngollo37184 years ago Mmefanya maajabu ya mwaka mbarikiwe wasukuma wenzangu. 2
  • @
    @shadymoses58134 years ago Bila shaka mungu amesikiliza sifa zake. Wimbo huu kila kitu kipo on point jamani, analysis yake ipo hivi.
    1. Introduction ya piano, is great. That 2. Arrangements ya melody ya wimbo, na mpangilio wa sauti alto, soprano, teno, na bass zote wamepatia na zinasikika kila moja kweny freq yake.
    3. The solo guy is wow, amepewa mahali pa kuingilia sauti pazuri sana, pianist amempa kila kitu yaani. Jamaa anajua kupanda na wimbo, section kwa section, mpaka anaenda kuhit highest note akiwa na pumzi vizur kabisa, ana express vizur anachoimba in short he is a true worshipper.
    4. Bass team, wameimba safi sana. Kuna sehemu walitakiwa kubackup kwa bass, a ukisikiliza kwa earphones utaona walivyojaza, vocal punch yao hatari asee ukiwatazama unaweza usifikirie. Super amaizing.
    5. Pianist anayelead amekaa mbele upande wamekaa wawili ni fundi. Amevunja intro, anajua kuchomekea viladha fulani hatari sana, na ndo ameupa utamu huu wimbo, piano yake inagusa nafsi ya msikilizaji kabisa, anagusa jazz, blues na kuna sehem alienda pentanoic scales. Wenzake wawili nao walihakikisha wanamshikia chords vizuri, ofcoz they did it
    6. Nafikiri kila msikilizaji wa huu wimbo amejionea mwenyewe wewe ni pro sahani zimelia, kick zimesikika. Usikivu wa drum ulikuwa wa juu kabisa.
    mwisho kweli aic magomeni mlijipanga, doing it
    .
    ...Expand
    3
  • @
    @bilhakamau46633 years ago I just saw this song on tik tok. I rushed here. Real worship. Much love kenya. 1
  • @
    @dorahgideon73622 years ago Hakika ninayo sababu ya kumsifu bwanamy favourite of all time toka niujue. 2
  • @
    @winmoi20194 years ago From +254 every time i listen to this song i find myself so broken, tears of worship in my cheeks, this song breaks me into pieces for christ, it got healing, i love lord i love tanzania. 6
  • @
    @geofreymhina34723 years ago Huu wimbo hauchoshi kusikiliza mtunzi mungu ampe maono zaidi yuko vizuri.
  • @
    @gabrielkitetu8913 years ago This song has just ministered to me. Real worship. Be blessed. 5
  • @
    @bundalasosovele29164 years ago This song will forever mean so much to me and my family. 8
  • @
    @dorrypol99113 months ago Julius mwombeki. Mungu azidi kukuinua kaka katika utumishi wakoo.
  • @
    @mwanjokaully49044 years ago This song nmeitafuta mda mrefu. Sikujua ni kina nan wameimba. I love the melody, vocal arrangement, sound, the energy and leader. Musician. And everything is super! Bless you people. 2
  • @
    @marthajohn-gx3cqlast year Sichoki kuusikiliza huu wimbo unanigusa sana mwalimu hongera sana kwa utunzi.
  • @
    @maureenwanjiku4129last year I just love this choir may god continue uplifting you. 1
  • @
    @paschalmasanilo26174 years ago Everyday i feel blessed with this song. 4
  • @
    @priscaponella81972 years ago Mbarikiwe sana na mungu mnayemuabudu na kumsifu katika roho na kweli. Mungu akubariki sana sololist wewe ndiye uliyefanya niutafute wimbo huu, l.
  • @
    @lameckmboje3181last year This song should never be restricted to be downloaded please.
  • @
    @margaretnjeka46954 years ago Great team. Wow. You are going distances. Live for god and you will see. That soloist umegusa mioyo ya wengi. Machozi yamenitoka. Ahimidiwe mungu wangu. Baba nitakupenda daima. 1
  • @
    @peetahluzwilo65604 years ago Hallelujah this song is pure angelic, the power behind the song penetrates down to the core of my inner most being. For this song am saying thank you id="hidden5" jesus for aic dsm, lord i pray that they all live long for your glory. ...Expand 2
  • @
    @user-rg7ki5bz4h5 months ago Wimbo mzuri sana tunaomba muweke kwenye downloads.
  • @
    @hillarytheworshipper4 years ago This brother is deep.
    i love it.
    5
  • @
    @dorcaskhamaya94973 years ago Aki this song is powerful, the last worship i was in tears the heavenly sound brings me closer to god. God bless sana. 1
  • @
    @gracematifali52072 years ago Wimbo huu kwangu nikiusika unanipa amani. Sana mungu awabriki.
  • @
    @happyallan5082 years ago Am blessed with this worship
    glroy to god
    hossana.
    1
  • @
    @Audifacyben-lk7ri7 months ago Sichoki kuskiliza. Kaka ameimbamungu azidi wainua juu.
  • @
    @jmwau904 years ago Wow! The arrangement first of all, alafu this choir imebarikiwa zaidi. Endeleeni kutupa nyimbo zenye kutubariki. Be blessed guys. Aic dar es salaam. You people are fire. 3
  • @
    @lydiahkj3 years ago This song it' s ministration is on another level
    the leader is really blessed i pray that may this song bring your breakthrough.
    1
  • @
    @El9a4 years ago Halleluya atukuzwe bwana mwamba wangu.
    hii si nyimbo ya kawaida.
    mbarikiwe sana watumishi wa bwana yesu.
    i see the glory of the lord in your praises
    amen.
    2
  • @
    @kigongomgassa5744 years ago Experienced choir in music sound, vocal and bible word songs, i love the way convey da word of god. 3
  • @
    @marthamokogoti74314 years ago Can' t stop listening to the song its a healing song. That voice so beautiful. Karibu kenya. 2
  • @
    @cieranchillo74 years ago God bless y' all yo voice thou guyz. 2
  • @
    @josephatmagege90524 years ago Be blessed guys thanks for the nice song. Nimebarikiwa sana na huu wimbo. 2
  • @
    @veronicasarita84222 years ago Amen wimbo unanifarij sana mungu barik kwaya hii.
  • @
    @marthajohn-gx3cqlast year Nawapenda sana mungu amesikia uiimbaji wenu.
  • @
    @janethsparks99664 years ago Thank you my brother for bringing out the worship. God bless you as always
    am blessed with this song, to god be all the glory.
    6
  • @
    @Mose8610 months ago Kwa kweli hapa upako ulikuwa juu yenu, mungu awabariki.
  • @
    @aidandidace82074 years ago Huyu bro nakosa maneno, na choir nzima wako vzr pia, ila leader duh mungu ampeleke juu kwenye uimbaji wake. 1
  • @
    @carolinemichael13164 years ago Your so talented bro keep praising our good god with your blessed voice. 1
  • @
    @mrwhynot76264 years ago Huyu kijana ana zawadi yake kwanaomba afikishiwe taarifa na aingie inster kuwasiliana na huyo mtumishi wa mungu kutoka morogoro. 1
  • @
    @agnessjohn78904 years ago Mungu azidi kuwainuwa kwa viwango vingine. 2
  • @
    @marrymvumu87624 years ago This song gives me new hope be blessed aic dar es salaam.
  • @
    @asainemutalemwa9154 years ago Hakika " ninayo sababu ya kumsifu mungu, mungu mwenye nguvu. " nimebarikiwa sana na wimbo huu, mungu azidi kuwatumia katika klihubiri neno lake. 2
  • @
    @kagiraedmonds36524 years ago Ive searched for this song for months now.
  • @
    @lisamteti86494 years ago Someone please tell me the name of the soloist or his youtubeso blessed. This one is on replay mode i can' t get enough of it. 1
  • @
    @samwelmashauri644 years ago Yaan it' s very powerful song, huyu kak kanibariki saana anaimba kutoka ndani kabisa, arrangement iko vzr, vocalsana. 3
  • @
    @mlelemafrancis8763 years ago Asanteni sana, kwa kweli mnanielekeza nini maana ya kuimba. Mungu aendelee kuwainua katika viwango vya juu sana.
  • @
    @esbonmasanja81755 years ago Powerfully message watumishi wa bwana hii ndio saa inayokuja na sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu bwana katika roho na kweli. 4
  • @
    @rabbistefanos42024 years ago Jamani this is too much angelic jamanii
    yaani vile nimeupenda huu wimbo sijui nisemeje.
    3
  • @
    @veronicamoses52243 years ago Uimidiwe mfalme uimidiwe mwokozi nakuinulia mikono yangu
    aict dar es salaam kwaya mungu aendeless kuwaimalisha zaidi na zaidi tunabadilikiwa kupitia nyimbo hizi.
  • @
    @cieranchillo74 years ago Ameleta amaani namshangiliaa huyu mungu jamaan huyo kaka ako na sauti nzuri mwe. 3
  • @
    @happymwanguo25213 years ago Barikiweni watumishi wakuacha kuusikiliza hiinakosa la kusema.
  • @
    @daudiidarabe96603 years ago Nimependa sana hii kwaya nilikuwa naomba waweke nyimbo zao kwenye faili nzuri ya kudownload.
  • @
    @janethsaukiwa39664 years ago Amen watishi kwel ni usiku wa sifa mungu azid kuwainua ktk viwango vingine huyo kaka aliye solo mungu azid kumuinua kazi ni muifanyayo ni njema sanaaa. 1
  • @
    @bupemogha56814 years ago Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki na awainue zaidi kwenye huduma yenu na kaka julius mwombeki wimbo wako wa nafsi yangu naogopa naupenda sana unadhihirisha ukuu wa mungu.
  • @
    @happynessmathias40854 years ago Hakika mmeugusa moyo wang zaidi kwa huu wmbo kaka pia umeimba ktk roho na kweli barkiwa pia, nawapenda sana. 1
  • @
    @oshaimuafrica83984 years ago Mungu nimwema nyimbo nzuri kila lakheri watumishi. 1
  • @
    @sumakibona4794 years ago Serious, kaka unae lead hii nyimbo, ongeza zaidi viwango, watu tunatoa machozi just kwa sauti, mungu aliyowekeza kwakoh. Choir hongera sanaa, mko just kiroho na kimwili.
  • @
    @BarakaWaya4 years ago Hii kwaya sikuwahi kujua kama bado ipo daaah. Mungu awainue zaidi. Huyu aliyelead hii nyimbo nihazina nchini kwetu.
  • @
    @mecksedesmkalawa4373 years ago Jaman mbarikiwe sana na bwana wa mbing na nchi. 1
  • @
    @gideonjames69985 years ago Mbarikiwe sana wapendwa wangu. Kazi njema sana. 2
  • @
    @mercywilliam7334 years ago Jamani wimbo kila saaawabariki mno, kaka anasauti kiukweli mungu ana watu. Duu! 1
  • @
    @estermlawa35294 years ago Wimbo mzuri huu jamani naupenda tangu niupate ninamiezi mawili sasa siwezi kulala bila kuusikilza, kila siku na sichoki big up watumishi pongezi nyingi . ...Expand
  • @
    @tricykalukwa56974 years ago Sasa saiz kwl ni aic dar es salaam great! Just like @neema gospel chang' ombe. 1
  • @
    @monicahallan21022 years ago Am much blessed. Kweli ninayo sababu yakumsifu mungu mwenye nguvu.
  • @
    @hoccyhilary67894 years ago Mwalimu wa kwaya mungu akubariki sana, nimekuelewa mno, best teacher yani umenibariki sana.
  • @
    @johnsanago29744 years ago Mungu awatie nguvu mzidi kusonga mbele zaid.
  • @
    @MWALUJEJE5 years ago Amen
    mungu awabariki sana
    bro julius.
    1
  • @
    @mercywilliam7334 years ago Kuna wimbo wa huyu kaka niliuona upendo tv. Moyo wanguni wa kwake au kwaya, sijashika title yake anayeweza kunisaidia please. He has amazing voice. 1