#musicdistributor Watu wengi wamekuwa wanapata mafanikio katika shughuli zao, lakini wanajikuta bado hawawezi kutumia kile walichokipata, badala yake matumizi mengine ya ziada yanajitokeza na kumaliza kile ulichokipa, sasa hapa tunajifunza kuhusu kuondoa kile kinachokula mafanikio yako na kukuacha hivyo, iwe ugonjwa au mengineyo, Mungu anaenda kuondoa
Category
Show more
Comments - 8
Related videos for Kuondoa tatizo lililosukumwa mlangoni mwako ili kuzuia mafanikio yako: