Duration 3:11

VOTE FOR JAJU

Published 12 Jun 2020

Habari Watanzania, Kama ambavyo mtakumbuka kuwa mchakato wa uchaguzi wa kupata viongozi wapya wa TASAFIC umeanza. Katika mchakato huo, Mwenyekiti wetu wa WUTASA ni miongoni mwa wagombea waliochukua fomu na kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi kuwania nafasi hiyo kubwa ya Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi wa kiTanzania hapa nchini China. Kwakuwa Mwenyekiti wetu anasimama kwa bendera ya WUTASA basi ni vyema tukimtakia Kheri kwenye mchakato huo kwani kufanikiwa kwake ni kufanikiwa pia kwa Jumuiya yetu ya WUTASA.

Category

Show more

Comments - 0