Duration 1:59:3

IBADA YA SHUKURANI BAADA YA BIASHARA YA UTALII KUFUNGUKA UKANDA WA KASKAZINI - ARUSHA

4 222 watched
0
82
Published 26 Apr 2021

19 BULI VOL. 2 (24 January 2021) BABA HALISI alifanya Ibada ya Kufungua Utalii katika Kanda ya Kaskazini - Arusha ambayo Ibada hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya Munduli baada ya miezi mitatu Utalii umefunguka na wageni wameongezeka ! Hivyo leo 26 SHEBATI VOL. 2 (25 April 2021) BABA HALISI anafanya IBADA YA SHUKURANI BAADA YA BIASHARA YA UTALII KUFUNGUKA UKANDA WA KASKAZINI - ARUSHA

Category

Show more

Comments - 0