Duration 1:41

TAASISI YA MIKOPO YA FEDHA FAIDIKA YAKARIBISHA WATEJA MAONESHO YA SABASABA.

2 248 watched
0
12
Published 3 Jul 2020

Taasisi ya Mikopo ya Fedha Faidika imewataka watanzania kuchangamkia fursa ya kukopa kutokana kwa sasa wamepunguza riba na kutoa nafasi kwa mlipaji kulipa deni katika kipindi cha miezi sita hadi miaka saba.

Category

Show more

Comments - 8