Duration 2:58

Mlemavu Mwenye Bidii Ya Muchwa

8 739 watched
0
50
Published 28 Jul 2014

Ulemavu sio dhambi ...Mzee Joseph Kanyoni amedhihirisha msemo huo kwani licha ya kukosa mikono anaweza kujifanyia shughuli zake ikiwemo ukulima. Runginga ya Citizen ilimzuru Kanyoni nyumbani kwake katika eneo la Gatundu Kaskazini kaunti ya Kiambu. Mwanahahabri wetu Gatete Njoroge ametuandalia taarifa hiyo Ulemavu haujamzuia kutafuta riziki

Category

Show more

Comments - 7