Duration 2:7

BASI LA ABIRIA LATEKETEA LOTE KWA MOTO TANGA.

1 797 watched
0
6
Published 26 Sep 2017

Basi la abiria la kampuni ya TASHRIFF linalofanya safari za TANGA kwenda DAR limetekete lote kwa moto leo hii Tanga eneo la Pongwe. Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga BENEDICT M. WAKULYAMBA amethibitisha kutokea kwa tukio hilo......Tazama hapa na usisahau kubonyeza SUBSCRIBE.....

Category

Show more

Comments - 0