Duration 37:21

HUYU NDIYE MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU ALIYEWASHANGAZA WATU WENGI,FAHAMU UKWELI KUHUSU MAISHA YAKE

1 301 384 watched
0
12.5 K
Published 14 Jul 2020

Fahamu ukweli kuhusu maisha ya mtoto Yusufu mwenye kipaji cha ajabu cha uimbaji ambaye video clip yake ilizagaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akiimba kwa uwezo usio wa kawaida kiasi ambacho watu wengi wamevutiwa na uimbaji wake na kutamani kumjua ziadi kwa maisha yake na mengine zaidi Bongo trendy tv tufanya juhudi kumtafuta na kumpata na kufanya mahojiano naye pamoja na Mama yake mzazi Fuatilia story hii kujua haya na mengine Kwa mwasiliano zaidi wasiliana nasi 0674724010.

Category

Show more

Comments - 2968