Duration 25:41

Padre Dkt Kamugisha:Kinachosemwa na mlevi kimo ndani;Kaipata fursa/ Ukitaka kumjua babu yako gombea

14 802 watched
0
94
Published 29 May 2021

Ni mafundisho kwa wana ndoa ambayo yametolewa na Padre Dkt Faustine Kamugisha akitoa mafundisho juu ya mtazamo katika maisha. Karibu uanze kutazama mafundisho haya. Na mafundisho haya hutolewa Alhamis kila juma na mapadre mbali mbali wa Jimbo Katoliki la Bukoba katika Kanisa kuu Cathedral kuanzia saa 11 jioni. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja

Category

Show more

Comments - 11