Comments - 100
  • @
    @rodgerskemboi4955last month Mkuruu one day ill just tell you how much of help ur stories helped me overcome depression. Be blessed am back to the country n now with my family, am back strong. 16
  • @
    @scooby254last month Yule dem, aliangusha Phil mbaya sana, he is lonely in the picture. 25
  • @
    @bobo_diarieslast month 😂😂😂😂watu wengi hii comment section didn't get it 😂😂😂Abel na njugush hutoanishana 😂😂😂hii ni kawaida yao 😂😂😂😂😂😂na amecatch juu picha haikuwekwa kwa mat 😂😂😂😂😂😂otherwise Abel of all people wishes Njuguna the best 👌 👍 17
  • @
    @AliceDiscoveriesKenyalast month These are not just friends they are a true family they celebrate each other kabisa....stay blessed njugush and family ..... 12
  • @
    @ianduncan9398last month Biz ya mathree nayo si rahisi, Abel might be saying it jokingly but wueh, Hii biz nayo si rahisi
    But SuperMetro ni a good choice!!!
    O’wise we wish Njugush all the best
    20
  • @
    @ceaserkelvin7367last month Guys those are saying ametupa remember Kenya is all about marketing and influence this mat itakuwa inangojewa just for pple to experience the njugush influence and will be the most hired mat 75
  • @
    @DJEXWEEZlast month The best sacco ever ; he will make it . 8
  • @
    @mukuikariukiilast month A circle of 6 people and they are doing OK.. mkuru na bi mjuru,Tim na wakavinye,Phil na mkewe 5
  • @
    @SamuelWangui-yz2bylast month Mkru kam nkuchore walai ....just need you to come thru bana utapenda 5
  • @
    @homefunjokes4213last month We get it right through experience...i wish Njugush all yhe best 11
  • @
    @janemwirikia6817last month He will make it imagine, he is in a safe sacco, all the best Njugush. 8
  • @
    @warigialifestylelast month i want such friends🤣🤣,,,true ones,,,si kaa hizi nugu niko nazo ata nikikosea hawanishow😢💔 20
  • @
    @Muriukibaibey001last month Siri ni✌️,☝️ picha ya mkuru nyuma.✌️ content ya mkuru, headline hitters from season 1 3
  • @
    @ceciliahmwangi497last month Ni vizuri kujaribu any business f u have capital money;i through 5
  • @
    @anastaciamurungi8150last month Bora Phill amechorwa. Oh God bless me with such friendship 19
  • @
    @abdirahmandabow8998last month Hii ni mchongoano ya marafiki,mkuru doesnt mean what he is saying 9
  • @
    @gitumagladys4845last month 😂😂😂mkuruu ni joker,,,he said that coz hajachorwa msioverreact😂😂😂all the best Njugush 14
  • @
    @alfredmwero5849last month Mkuruu: mi hupanda mat sana
    Also mkuruu: nilipanda mwisho end of 2021
    17
  • @
    @bulletthemonklast month Yooh mkuru unachomea jungush sanaa but i gerrit..... 🎉... Kismart siku zote 10
  • @
    @carrenkenny717last month I feel pic yake iko Kwa iyo door ebu ikafungwe tuone Na ndani 10
  • @
    @lilnumb-vo6izlast month Njugush na mkuru ni marafiki deadly wasituchoche it's all about content creation hiyo picha ya ovacado ni mkuru amefichwa 1
  • @
    @stanleywamaitha5008last month Hio ni maoni yake,akina pleasant, komatsu,kabuku,day by day,wananunua magari daily,kama c biashara mzuri hawawezi nunua,,Kila mtu Kuna Ako field yake..ya kubarikiwa 3
  • @
    @majidabdul8182last month njugush choose the right sacco and it ply kiambu ng'ong eastlands na mtaah kadhaa hii ni 120k mashande haina miss apa kudos tu njugush 🤗🎉🎉🎉🎉 3
  • @
    @deniskarina6540last month "Afungue biashara ya kukamua"😂Abel ni roaster 😂😂
  • @
    @irene_mwinzilast month I feel Njugush is trying to give back to the society as much as Abel is making sense. 4
  • @
    @carolinengugi8117last month Why do I have a feeling hapo nyuma ni picha ya mkurugenzi itawekwa😂😂 2
  • @
    @mouriceodhiambo8557last month mukuru amesema ukweli hii bado iko chini plus hii biz ina wenyewe 3
  • @
    @olixx_officiallast month Spm hire me as photographer i have the skills 3
  • @
    @AlexMusyoki-gm5qflast month @Abel Mutua,, makasiriko ni ya nini? 😂
  • @
    @reformedhacklast month Butita leo amekuwa wapi. Na phil na Butita pia waanze kukuja site na wapoa wao
  • @
    @dominicat3last month If you don't get the "ngombe" part, forget about it
  • @
    @fabyscarllast month Hii mat itakuwa inangojewa na kunganganiwa na Kila mtu, ata mi ningekuwa wa hiyo route ningeipanda 1
  • @
    @beatyapacho6368last month Njugush anarisk kulambwa usiku akiwa amelala na pundamlia😂
  • @
    @alexkiara3442last month The Spirit gives life; the flesh counts for nothing. The words I have spoken to you—they are full of the Spirit and life.John 6.63 someone just cursed ur matatu business day one by use of words likes jokes
  • @
    @DouglasObworilast month Anasema ukweli he should had bought a house for rent 3
  • @
    @garrichsmuchirilast month KIZZ DANIEL nacheza trap ka iskuti
    KISS, Daniel isifanye uingie SIMTOOLKIT
    BAG, pesa kidogo isifanye uingiwe SIM 2 KID
    KING DANIEL aki leo pals (cleopus) nalala na simba MARARA na izi bad manners MUNGU haezi rain MANNA...
    💥Live your life🔥
    ...
  • @
    @manuukenyalast month Watu hawaelewi, mkuru is doing what we call higher marketing in business 8