Duration 4:47

MANENO MAZITO YA MKUU WA MAJESHI KWA RAIS SAMIA, ANAITWA AMIR JESHI SIO AMIRATJENERALI MABEYO

783 404 watched
0
1.5 K
Published 26 Mar 2021

#CgOnlineTv #MazishiYaRaisMagufuli Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ataitwa pia Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania na sio Amirat kama ambavyo ilipendekezwa———“Nashukuru Baraza la Kiswahili limerekebisha uendelee kuitwa Amiri Jeshi Mkuu na sio Amirat kama ilivyokuwa inapendekezwa” Mabeyo ametoa kauli hiyo kwenye Uwanja wa Magufuli Chato leo wakati akitoa salamu kwenye Misa Takatifu ya Mazishi ya Hayati Dr.John Pombe Magufuli.

Category

Show more

Comments - 131