Duration 9:8

Dr. Chris Mauki: Hatua sita (6 ) za kufikia mabadiliko unayotamani

6 612 watched
0
159
Published 12 Sep 2020

Je ni mabadiliko gani unakiu ya kuyaona kwenye maisha yako? Ni kupungua uzito? Ni kuongezeka kwa kipato? Ni ubora wa malezi ya watoto wako? Ni kuondokana na matatizo kwenye mahusiano yako? Umewahi kujiuliza kwanini ni ngumu kuyafikia? Nina jibu hapa kwa ajili yako. Fuatilia somo hili zuri.#DrChrisMauki#Hatua#Mabadiliko

Category

Show more

Comments - 15